Makapuku Forum

Makapuku Forum

20210503_073236.jpg
20210503_073302.jpg
 
Kama ulikua haufahamu ndo ilikua hivi Sasa

Huko Uingereza, katikati ya miaka ya 1960 kabla ya kuwepo kifaa cha kupimia mimba, vipimo vya ujauzito vilifanywa kwa kuingiza mkojo wa mwanawake kwa chura na kuangalia ikiwa kama atataga mayai ndani ya masaa kumi na mbili. Kama akifanikiwa kutaga basi mwanamke mwenye huo mkojo ana mimba.
Yote hii ilifanyika katika maabara.

Kipimo cha kwanza cha upimaji wa ujauzito kilitengenezwa mnamo mwaka 1971 ambacho mwanamke angeweza kupima mkojo wake mwenyewe na kungoja kwa masaa mawili ili kuthibitisha.

NaddySL njoo uone hukuView attachment 1771380
Aisee...
 
UNAAMBIWA Utafiti wa Kampuni ya Magodoro nchini Uingereza ya Ergoflex unaeleza kuwa kwa wastani Wanaume wengi ambao hawajaoa (Single) wanafua mashuka yao au kuyabadili mara nne kwa mwaka tofauti na ushauri wa Wataalamu wanaoshauri mashuka yasipitishe wiki kitandani.

Utafiti huo ulibaini baadhi ya magonjwa kwa Wanaume kama kuumwa tumbo kuwa ni madhara ya uchafu wa mashuka yao unaosababishia vijidudu kuingia miilini mwao———> “Wanaume wasiooa wa kuanzia umri wa miaka 18- 25 hawa 55% wanabadili shuka zao kila baada ya miezi 3 na wiki moja “

Kwa uzoefu wako kibongobongo Mabachela wengi hubadili shuka mara ngapi kwa wiki!?
20210503_142945.jpg
 
UNAAMBIWA Utafiti wa Better Health unaeleza kuwa sio jambo sahihi kumlazimisha Mtoto anayetumia mkono wa kushoto kufanya vitu mbalimbali (ikiwemo kuandikia na shughuli nyingine) atumie mkono wa kulia, kumlazimisha huko kunaweza kumtatiza kiafya ikiwemo kwenye ukuaji wa ubongo.
20210503_143158.jpg
 
UNAAMBIWA Usafiri wa umma ni bure kwenye Nchi ya Luxembourg iliyopo Ulaya ikiwa imezungukwa na Ujerumani, Ufaransa na Ubelgiji, kuanzia March 2020 Watu wanapanda bure Mabasi, Trams na Treni kila wakati popote wanapokwenda.

Luxembourg ikiwa miongoni mwa Nchi tajiri duniani ambayo mpaka mwaka 2017 ilikua na Watu laki moja na elfu kumi na nne, ilisema moja ya sababu ya kufanya usafiri kuwa bure ni ili Watu wasitumie magari binafsi ili msongamano wa magari usiwepo.
20210503_143259.jpg
20210503_143314.jpg
20210503_143329.jpg
 
“Ukiwa umehama Chama na unataka kurudi lazima uombe, niliomba lakini sitaki kusema niliomba kwa njia gani ila niliomba na niliwaaomba radhi Viongozi na Wanachama wa CCM kwa kuondoka ni kama kwenye Timu ya mpira ukiondoka unawarudisha wengine nyuma hivyo niliomba radhi”———Lazaro Nyalandu kwenye Clouds360 ya cloud stv

“CCM wameizidi CHADEMA kwa mfumo, mfumo wa kusaidiana, mfumo wa uchaguzi, mfumo wa uendeshaji ambayo inafanya Chama kionekane kuwa bora sana”———NYALANDU

“Mmoja kati ya Mtu ambaye nilimtafuta sio kumwambia naazimia kuhama ila nilimuuliza Dkt Slaa kwamba kwanini aliondoka, kuna mstari kwenye Biblia unasema kando ya mito ya Babeli ndipo tulipoketi, niliposema nilikuwa Nchi ya ugenini ni kwa namna wimbo ulikuwa hauimbiki"———NYALANDU

“Chama Cha Mapinduzi kimejaliwa mfumo, kilivyotengeneza itifaki ya Chama, namna ambavyo walitengeneza mfumo wa kutoa dukuduku zako,mfumo wa kuchaguana,kina strength ya mfumo, naamini imani ya Watu tukipeleka kwa public, Mwananchi wa kawaida anatoa kura”———NYALANDU
20210503_143705.jpg
 
“Nikiwa CHADEMA niliposema hatuna sababu ya kumpinga Mama(Rais Samia) ndio ameanza kazi, vijembe vikaanza Nyalandu pandikizi, wakaanza kuuliza kwao atarudi lini? mbona wenzake wamerudi?, kwenye speech yangu nikasema kurudi kwangu CCM nimeondoa swali la ni nitarudi lini?”———Nyalandu kwenye Clouds360 ya clouds tv

“Wakati uvumi unaenea kwamba Hayati Magufuli anaumwa nilisema naomba tumuombee Kiongozi wa Nchi yetu apone, baadhi ya Viongozi walijitokeza na kusema huyu aondoke sisi tufurahi”———NYALANDU

“Nilipokwenda kumzika Hayati Magufuli sikupata mashambulizi kutoka kwa Watu wa CCM ila nilipata upinzani na maneno mengi kutoka kwa Makada wa CHADEMA, unampigaje kwa maneno Mtu aliyeenda kumzika Kiongozi wake!?, huo unaosema ni usaliti uuite ujasiri”———NYALANDU

“Wana-CHADEMA ni Watu wazuri sana, wenye moyo wa kujitoa, itisha Mkutano hapa watatembea hata kwa miguu waje, ile nia ya kutaka mageuzi na maendeleo ni halisi, nataka tu kuwaambia Wana-CHADEMA siasa sio matusi, siasa sio maneno machafu, wapeleke tu hoja"———NYALANDU
20210503_143859.jpg
 
Rais Samia Suluhu ametengeua uteuzi wa Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Hassan Mwang’ombe, pia ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Posta Tanzania Dkt. Harun Kondo na amevunja Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo.
20210503_144038.jpg
 
Rais Samia Suluhu ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (TASAC) Prof. Tadeo Satta pamoja na Wajumbe sita wa Bodi hiyo ya TASAC, uteuzi wa Viongozi hao umetenguliwa kuanzia April 30.2021.
20210503_152015.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom