EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Ni vyema na haki Kumshukuru Mungu.Huku mambo mwanana kiongozi.
Tunamshukuru Mungu
Ni vyema na haki Kumshukuru Mungu.Huku mambo mwanana kiongozi.
Tunamshukuru Mungu
chukua 5hahaha ndio maana najiita Mussolin5 hiyo tano inawakilisha mambo mengi mno mojawapo ni kipigo cha Yanga cha goli 5
Utafikiri wamekula hamiraHaahaa,
Huyo wa 2011 wangeweka ameshika KFC au McDonalds.
Ni njema. Niaje P?Habari wakuu
Yuko poa sanaaWii usijali. Ukiwa free utanitumia tu. Kaka hajambo?
My wii Uko poa??Utafikiri wamekula hamira
kwema tu arifu , maisha yanasemaje?Braza mishe niaje?
Nimeipenda sana Avatar yako: Imenikumbusha kitambo sana.
kama kawizNi njema. Niaje P?
kwema tu arifu , maisha yanasemaje?
duuuuh mbona mapema sana Huwa nafurahishwa na uwepo wako jukwaaniUsiku mwema kapukus
sio kwa utani huu
ahsante mkuuchukua 5
Utafikiri wamekula hamira