Wenzio ndio tumeamkaLala basi cheupe
Mbona wengine wanaambiwa waache kulalamika hovyo wataugua pressure...
Kwani na wewe unalalamika etiMbona wengine wanaambiwa waache kulalamika hovyo wataugua pressure...
Mh? Huwa wanalalaga? Wanafumba macho😁
😂😂😂😂 kwa kweli..hamna haja ya kujichosha
Ina make sense 🤔Maana unatoa dukuduku lako linalokutesa kwa kulalamika na hivyo kuwa huru
AiseeeMwanaume mmoja kwa jina la Ma Van Nhat raia wa Vietnam, mwaka 2017 alienda hospital baada ya kusumbuliwa na tumbo muda mrefu. Baada ya kufanyiwa vipimo aligundulika ana mkasi tumboni ambao ulisahaulika alipokuwa amefanyiwa upasuaji.
Upasuaji huu ulifanyika baada ya kupata ajali ya gari mwaka 1998 na bila Kujua wakasahau mkasi tumboni. Mkasi huo ulikuja kugundulika na kutolewa miaka 18 baadaye, mwaka 2017 siku alipoenda hospitali. Mkasi ulikutwa ukiwa na kutu.View attachment 1770597
Eti jamani nijichoshe na ninikwa kweli..hamna haja ya kujichosha

cha kufia