Makapuku Forum

Makapuku Forum

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu tayari amewasili Uganda kwa ziara ya kikazi ya siku moja, kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameandika——— “ungana nami kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili nchini Uganda leo”
20210411_144500.jpg
20210411_144525.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom