Sasa hivi kila Mtu ataongea maana kipindi cha nyuma mambo yalikua mengi!
Waongee wanyamazishweSasa hivi kila Mtu ataongea maana kipindi cha nyuma mambo yalikua mengi!
Ukiwaza nawe utawaziwa...Akili zangu za mvua sijui huwa nawaza nini![]()
Unawaza kupiga mbizi kwenye mvua wakati unaogopa maji 😅Akili zangu za mvua sijui huwa nawaza nini![]()
Hahahaa si ndio vizuri sasa na mimi nikiwaziwaUkiwaza nawe utawaziwa...
Kwa nini ubambiwe na isiwe kweli tuu...Hali ya hewa ya kubambiwa na babe![]()
Kama hakuna ubaya naomba nikuwaze...Hahahaa si ndio vizuri sasa na mimi nikiwaziwa
Toa muongozo...Kweli na hii hali ya hewa leo nalala peke yangu mimi.![]()
Hahahahaha anibambie kwanza halafu baadae inakuwa kweliKwa nini ubambiwe na isiwe kweli tuu...
![]()
Ebu niwazie basiKama hakuna ubaya naomba nikuwaze...
Toa muongozo...Hahahahaha anibambie kwanza halafu baadae inakuwa kweli
Muongozo wa nini etiToa muongozo...