Wale mliokua mnaniuliza kama Ota Benga alikua ameoa jibu ni ndio alioa wake wawili na alikua amewazalisha watoto wawili.
.
.
[emoji830]︎Ota Benga alizaliwa 1883
[emoji830]︎1904 alipelekwa marekani kutoka congo kwaajili ya maonyesho
[emoji830]︎alifariki March 20/1916
[emoji830]︎chanzo cha kifo chake,alijiua kwa kujipiga risasi kutokana na depression
[emoji830]︎alizikwa Virginia
[emoji830]︎alikua na urefu wa ft 4 na 11 inch ( 150cm
[emoji830]︎wake 2
[emoji830]︎watoto 2
Inasemekana Hayati D.r Jonh Pombe Magufuli ni raisi wa pili aliyeimbiwa nyimbo nyingi na wanamuziki barani Africa, wa kwanza alikua Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga aliyekua raisi wa Zaire ( congo) kuanzia mwaka 1965 hadi 1997.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.