Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Shimba telegram nimeisikia mda sana kiukweli siwezi kuna vitu vingine acha vinipite tuTelegram ndiyo big next thing na ni bora kuliko hata WhatsApp. Njoo bana. Ukija nambie tu nikupokee![]()
Shimba telegram nimeisikia mda sana kiukweli siwezi kuna vitu vingine acha vinipite tuTelegram ndiyo big next thing na ni bora kuliko hata WhatsApp. Njoo bana. Ukija nambie tu nikupokee![]()
Watu na bahati zao... watu na babe zao...Sanaaa kwakweli
Hahahahaha unamuonea wivuWatu na bahati zao... watu na babe zao...
![]()
Yes namuonea wivu... Natamani hiyo nafasi niipate mimi...Hahahahaha unamuonea wivu
HahhahaYes namuonea wivu... Natamani hiyo nafasi niipate mimi...
Shangazi@Shunie mambomtu chake we mzee nakusalimia
Poa we mzee za kuadimikaShangazi@Shunie mambo
Nipo shangazi nipo sana ,majukumu tu, we hutaki kuja huku porini ,karibu poriniPoa we mzee za kuadimika
Pole hua haisaidiagi...Hahhaha
Nikupe pole au nikuache
Shemela nipo,sema if naingia mara moja moja sanaHahhahah
Nipo poa shemela za wewe hapo umeadimika sana shemela
Heinekenn tutakunywa kwaresma ikiisha shemela wangu
Pole na majukumu we mzee uko porini mnapaweza wenyewe tuNipo shangazi nipo sana ,majukumu tu, we hutaki kuja huku porini ,karibu porini
HahahhahahPole hua haisaidiagi...
Ila penye nia pana njia...
Kwahiyo shemela arsenal msipochukua ndio basi tena hazitamwagwa tena heinekenShemela nipo,sema if naingia mara moja moja sana
Arsenal tukichukua europer tu tunamwaga heineken za kutosha
Hahahaha,haya shangaziPole na majukumu we mzee uko porini mnapaweza wenyewe tu
Ila usiadimike sana hivi we mzee tunakumiss sanaHahahaha,haya shangazi
Nipe nafasi badala ya pole...Hahahhahah
Kwahiyo nikupe nini sasa
Sawa shangazi Shunie nitajitahidi nionekaneIla usiadimike sana hivi we mzee tunakumiss sana
Nitazimwaga shemela wa mimiKwahiyo shemela arsenal msipochukua ndio basi tena hazitamwagwa tena heineken
Ndio maana nakupenda shemela wa mimiNitazimwaga shemela wa mimi