Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Hahahha we mkaka kwa nini unajiamini sanaSasa je...
Maneno sii ndiyo hayo...
Maneno ya kujenga na siyo kubomoa...
Hahahha we mkaka kwa nini unajiamini sanaSasa je...
Maneno sii ndiyo hayo...
Maneno ya kujenga na siyo kubomoa...
Sijalala shangaziUmeshaamka we mzee
Kwa nini jamani we mzeeSijalala shangazi
HahahahaKwa nini jamani we mzee
Au uko porini kwako ulikuwa unakimbizana na simba
Sawa sawa
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu...Upoje lakini [emoji2296][emoji2296][emoji2296] kwa nini unapenda kunijaza hivi
He he nacheka mimi unapenda kunijaza sana smartMsema kweli ni mpenzi wa Mungu...
Na kwarezma yote hii siwezi sema uongo...
Wewe ni Pisi kali... unawaka hata gizani...
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu...He he nacheka mimi unapenda kunijaza sana smart
Kwa uwongo unaouongea etiMsema kweli ni mpenzi wa Mungu...
Kwani wewe siyo Pisi kali kweli Shunie...Kwa uwongo unaouongea eti
Sio bwana sina upisi kali wowote ujue watu wanakushangaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani wewe siyo Pisi kali kweli Shunie...
Pisi kali anayejielewa sana...
Hawawezi nishangaa sababu ni ukweli...Sio bwana sina upisi kali wowote ujue watu wanakushangaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanakushangaa jinsi unavyonijaza bwana smart [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawawezi nishangaa sababu ni ukweli...
Ila kusindikizana kupo pale pale...