Yanga kimeumanaa
Unataka tu magazeti,hutaki akuonjeshe vya zamani?Asanteee kwa magazeti
Hapana mkuu, siku hiz ananiambia sio size yakeUnataka tu magazeti,hutaki akuonjeshe vya zamani?
🤣🤣🤣Hapana mkuu, siku hiz ananiambia sio size yake
Usichekee mkuu, sema nammis bhas tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chief notification nina mwaka sipati wewe unapata?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi natumia web napata kama kawaida mkuu!Tumia web,wajanja wote wanatumia webChief notification nina mwaka sipati wewe unapata?
Na mimi hapo kati nilikuwa natumia web ila kuchange simu imekula kwangu chrome nimeiweka on not but holaaaaahMimi natumia web napata kama kawaida mkuu!Tumia web,wajanja wote wanatumia web
AiseeeHapana mkuu, siku hiz ananiambia sio size yake
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] bhasi moyo ulinidanganyaaAiseee
Usinisemee basi lini nilikwambia hivyo
Kama ulikudanganya ukudanganye tu sio kumsemea mtu sijapenda heshima ni kitu cha bure[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] bhasi moyo ulinidanganyaa
Bhasi nipende kama haujanidanganyaKama ulikudanganya ukudanganye tu sio kumsemea mtu sijapenda heshima ni kitu cha bure
Tumia hii browser,iko poa sanaNa mimi hapo kati nilikuwa natumia web ila kuchange simu imekula kwangu chrome nimeiweka on not but holaaaaah
Asante ipo play store?Tumia hii browser,iko poa sanaView attachment 1720465