Shem nahitaji nikujuePole sana sana baba wawili siku nyingine utushirikishe baba wawili usiwe peke yako sisi ni kama ndugu hapa japokuwa wengine hatujuani
Raha ni kuweka 100 kabisa
Tukiipasua hatuwezi kupata bei yake?
Usipokee simu ya mchepuko ukiwa nyumbani
Salaam nyagei za kupoteaWakuu salama humu
Anakujua ndugu yangu sakayo inatosha bwana mimi na sakayo kitu kimoja ujueShem nahitaji nikujue
Uzuri sina mchepuko mimi simu zote napokeaUsipokee simu ya mchepuko ukiwa nyumbani
Salama tu shem, sasa nimefufukaSalaam nyagei za kupotea
Yuko wapi madam Sakayo kitambo sanaAnakujua ndugu yangu sakayo inatosha bwana mimi na sakayo kitu kimoja ujue
Utasema ukweli sasaUzuri sina mchepuko mimi simu zote napokea