Kweli kabisa mimi ndio maana nina rafiki zangu wa uhakika wapo kama 10 hata niwapigie usiku wa manane najua wataamka na kunisikiliza nini kinanisumbua na kuwa na mimi
Tunasaidiana kwa shida na raha sio una marafiki lundo hawana msaada wa nini achana nao
" Nahitaji nafasi kua peke yangu" Kusikia neno hili kutoka kwa mwenza wako linaweza kujenga hofu, wasiwasi, na uoga lakini kulingana na utafiti hupaswi kuwa hivyo, kumpa nafasi mpenzi wako ya kua peke yake angalau kwa muda mchache inasaidia kuimarisha mahusiano yenu vizuri na sio vibaya.
.
.
JE! WEWE ULISHAWAHI KUAMBIWA NA MPENZI KWAMBA " BABY LEO LEO NAHITAJI NAFASI NIWE PEKE YANGU?"
He he kibongobongo hii mmeshaachana akili kichwani mwako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.