Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,974
- 185,325
😉Hapo imekula kwangu![]()
😉Hapo imekula kwangu![]()
Yaani ni mwendo wa kupunguzianaSanaaaa babe wangu ajiandae kunipunguzia mb![]()
Around Saa saba nilikuwa mitaa hiyo ,nikataka nipite nile niko parking simu itapigwa ya emergency nikasema kesho nayo siku ....Mwenyewe nimesikia kuna mtu amepita apa amesema tena moto mkubwa sana
Moto nahisi umetokea jioni hiiAround Saa saba nilikuwa mitaa hiyo ,nikataka nipite nile niko parking simu itapigwa ya emergency nikasema kesho nayo siku ....
Nimepigwa na butwaa aiseh