Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nawasalimia katika jina la bwana
Usipowekewa magazeti unapiga kelele ukiwekewa hata time hunaMbona mazingira hayaendani
Si mlikuwa mnapiga kelele kocha afukuzweNa hili bado sijalielewaaa
Hhahahha baba wawili nyumbani utakimbia weeh lakini mwisho wa siku lazima utarudiHatimaye amekuja mjombaa,, nyumbani ni nyumban tu shunie
He heNdio kwa sababu nishakuwa ex
Babe wake grace ndio naitwa hivyo mimiSiku hizi anaitwa 'mkuu Shunie'?
Chekaa tu mkuuHe he
Mimi sijambo Niko naendelea na malezi mwanangu anatambaa sasa
Hongera sana husnaNasubiri atembee nizae mweng
Nmeyasomaaaa mkuu exUsipowekewa magazeti unapiga kelele ukiwekewa hata time huna
Na kwako pia husna karibuHeri ya mwaka mpya makapuku wote
Sasa msishangae
HahaahaChekaa tu mkuu
Hongera shangaziMimi sijambo Niko naendelea na malezi mwanangu anatambaa sasa