Makapuku Forum

Makapuku Forum

20210108_054539.jpg
 
Club ya Simba SC imetangaza rasmi kuwa imeachana na kocha wake Mkuu Raia wa Ubelgiji Sven Vanderbroeck ikiwa ni siku moja imepita toka aiwezeshe kufuzu hatua ya Makundi ya CAF Champions League kwa ushindi wa 4-0 vs FC Platinum, Simba bado hawajataja sababu kamili ya kuachana na Sven lakini imesema kuwa ni makubaliano ya pande zote mbili.

Selemani Matola atakaimu nafasi ya Sven kwa sasa hadi hapo atakapotangazwa kocha mpya ambapo Simba imesema ni ‘hivi karibuni’View attachment 1671389
Na hili bado sijalielewaaa
 
Jeshi la Polisi limesema limebaini uwepo wa Wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwa kufungua Maduka madogo na wengine kufanya biashara zao kwenye maghala bila kulipa kodi hivyo Jeshi hilo kwa kushirikiana na TRA watafanya msako Nchi nzima wa wakwepa kodi na wanaokaidi kutumia mashine za EFD.

“Tutafanya msako pia kwenye maghala tukikuta Watu wanafanya biashara huko na kukwepa kodi watakabiliwa na makosa ya utakatishaji fedha, uhujumu uchumi na ukwepaji kodi”View attachment 1671392
Roho mbaya tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom