Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,546
mbona kama wachache
mbona kama wachache
sijayaonaaa ... rudiaaaMagazeti gani unataka nimepost toka alfajiri mimi
Mmh siri ya mtungi aijuaye katahapo mkuu lazima ugundue sikuwahi kuwa kivurugeeee
mkuu huu baby wako mpya alikuvurugaa ukaamuaa uingie jf au ....
Kunivurugaje yaaanimida ya kukuvurugaa hiii
Yaishe basi tuongelee habari za simbamlipata mlichostahili hata msione aibu[emoji16][emoji16]
mnyamaaaaaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1670504
si ndo maana asira ukazihamishiaa jfKunivurugave yaaani
Sijaelewa yaani hiyo kunivuruga ni ninisi ndo maana asira ukazihamishiaa jf
ata sijuiiiSijaelewa yaani hiyo kunivuruga ni nini
umeanzaaaBabe
Na nini tenaumeanzaaa
Mimi huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nianze kupost tena na nimeshayapost ni kusogeza tu post za juu usome nianze tena hii adhabu hapana kwakwelisijayaonaaa ... rudiaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani mapenzi ni zaidi ya uchizi[emoji23][emoji23][emoji23]hata kama kanuna we unacheka tu , utasikia " sura yako inachekesha ukinuna" mapenzi uchizi[emoji706]
[emoji124][emoji124][emoji124]
Hahahah sio mzima weweHahaha yaani baba wawili siambiwi wala sisikii chochote yaani me napendaa tuuuu yaani napendaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahaHahhaha yaani mpaka chupa za kijani zikolee akili ya kawaida kama leo hapa siwezi naanzaaajeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chupa ya kijani ina nguvu bwana