Makapuku Forum

Namshukuru Mungu maisha yangu yananipa amani na furaha


Naishi maisha yangu siishi maisha ya mtu mwingine


Ukinikwaza nitakwambia huwa siwezi kukaa na kitu moyoni
kazi ipo kwa wewe ninayekwambia ukinuna utajua hujui


Ukikaa nayo moyoni, moyo uvimbe ukufwe unatuacha wenzio tunaendelea kula raha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…