Kweli kabisaaaaaaaJichekee tu maisha ndio hayahaya matamu sana na mafupi sana ukipata nafasi ya kufurahi furahiii tu
Ukipata nafasi ya kupendwa pendwa tu
Ukipata nafasi ya kumpenda mtu mpende tu mshikilie usimwachie
Karibu msambaa mwenzangu[emoji848][emoji848][emoji848]
OkayKaribu msambaa mwenzangu
Hahha kwamba kinywaji ninachokunywa ni kama soda kakaOkay
Hapo Unakunywa vinywaj laini ukipata kali itakuaje [emoji23][emoji16]
Hapo kwenye mtu mzima nimecheka sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sasa me siwezi shindana nao ujue me mtu mzima baba wawili siwezi jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona mtu anacha sura wazi ujue mgeni jf hata mwaka hana
Kabsa sana, unaingiza miguu miwili [emoji23][emoji23]Jichekee tu maisha ndio hayahaya matamu sana na mafupi sana ukipata nafasi ya kufurahi furahiii tu
Ukipata nafasi ya kupendwa pendwa tu
Ukipata nafasi ya kumpenda mtu mpende tu mshikilie usimwachie
Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],hatimayeKweli kabisaaaaaaa
Kutana na lee kapuku wa kwanza kukubali msemo usemao ukiachwaa achika
Samaki sato, unawapenda shunie?Kama nakuona unavyokula masamaki
Baba wawili ujue niko na miaka 50 mimi sasa si zaidi ya utu uzima huoHapo kwenye mtu mzima nimecheka sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani miguu yote jamani baba wawili napenda haswa aliyependwa na mimi analijua hiloKabsa sana, unaingiza miguu miwili [emoji23][emoji23]
Miaka 50 kwa miguu ile? Tuache bwanaBaba wawili ujue niko na miaka 50 mimi sasa si zaidi ya utu uzima huo
Nawapenda sana na sangara baba wawiliSamaki sato, unawapenda shunie?
Ushikaji ukishindikana mnahamia ukaka na dada[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani miguu yote jamani baba wawili napenda haswa aliyependwa na mimi analijua hilo
Ila sasa nikikuvumila we havivumiliki nikiondoka sirudi nyuma hata ufanye nini tutakuwa washkaji tu mapenzi tena hakuna na kama ushkaji pia hauutaki sawa tu hakuna shida
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] picha za mdogo wangu bwanaMiaka 50 kwa miguu ile? Tuache bwana