Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ameen pokea kwa jina la Yesu
Aminaaaa
Ameen pokea kwa jina la Yesu
Kwamba safari hii natupiwa lawama me ndio nimesababisha umrudishe vinciHahahaaa ww ulikua umeanza kunibatiza jina

WoyoooooAhahaaahaaaaaaa, mazoezi muhimu sana yanasaidia hata pumzi tukaapo pale kati
Merry Christmas kwa wote.....hallelujaaaaaa
Baba wawili si upo nyegezi au umeshahama tena upo mkoa mwingineEti Nyegezi...lipo la kutosha Shunie
Mkuu, inabidi uzoe haina jinsi tenaStress tu mjomba kibaridii hiki mtoto mlito ndio ashapataa bwasheee kwa nn nisichapie
Hivi unafanya mchezo na kuachia sura jf huo ni zaidi ya ujasiriDah, kwann sasa?
Hapana mtoto mlito, nipo hapa hapa nyegeziBaba wawili si upo nyegezi au umeshahama tena upo mkoa mwingine
Haha ila kule kwenye selfie kuna watu wanaachia sura waziHivi unafanya mchezo na kuachia sura jf huo ni zaidi ya ujasiri
Sasa me siwezi shindana nao ujue me mtu mzima baba wawili siwezi jamaniHaha ila kule kwenye selfie kuna watu wanaachia sura wazi



Kama nakuona unavyokula masamakiHapana mtoto mlito, nipo hapa hapa nyegezi
Ila haya maisha haya ukipanick unajitakia halafu unaweza kufwa kabla ya siku zako![]()
Unatuacha wenzio tunakula raha tu






Jichekee tu maisha ndio hayahaya matamu sana na mafupi sana ukipata nafasi ya kufurahi furahiii tu