Ndio Mkuu
Sio kila rafiki ni mwema, na tunawahitaji pia hao wasio wema ili watupe changamoto za kusonga mbele, za kufika pale ambapo waliamini hatutafika!!
Kuna marafiki ambao ni baraka kwetu kwa kweli
....juhudi za kusaka tiba zinaendelea na zisikufanye ukaacha kuchukua hadhari dhidi ya Covid 19. Fuata ushauri wa wataalam na punguza kuchangamana na watu bila sababu ya msingi.