Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Sawa dada[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndiwooo sitaki shida sitaki stress za kujitakia
Sawa dada[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndiwooo sitaki shida sitaki stress za kujitakia
Malizia bwanahahahaha
Nimeshawamalizia leoPole Sana ,usiwanyime wenzio uhondo wa hadithi
Hahahaha,Nipo Ndola nasubiri mfungue borderUlikuwa wapi jamani hivi upo Congo au dar
AmenAimen
Okonkwo wangu bwana hataki ninywe beer apa kaniambia niache nimemwambia nimeacha ujueSawa dada
Poa poa
Pamoja Daima, RafikiSawa we mzee
Baki ukouko kuna corona huku we mzeeHahahaha,Nipo Ndola nasubiri mfungue border
Kwa hiyo umemdanganyaOkonkwo wangu bwana hataki ninywe beer apa kaniambia niache nimemwambia nimeacha ujue
Corona kote tuu Shangazi ShunieBaki ukouko kuna corona huku we mzee
Sio nimemdanganya bwana ndio nipo kwenye majaribio sijanywa mieziKwa hiyo umemdanganya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya stres kupungua ndo unagunduaa jeshi la mtu mmokoShunie jeshiiiiiiii la mtu mmoja [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Kumbe miezi tuu jamaniSio nimemdanganya bwana ndio nipo kwenye majaribio sijanywa miezi
Nipo kwenye majaribio bwanaKumbe miezi tuu jamani
Hapana jamani dadaUnatesekaaaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]