Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kwahiyo unasikia raha mwenyewe unavyonivuruga eti








Saaana jamani, ila leo mei mosi, tufurahi jamanii
Kwahiyo unasikia raha mwenyewe unavyonivuruga eti








Sawa dadaSasa usinichokoze
Mimi leo nakesha humu tulale humuhumuHebu tukalale jamani
Basi msamehe Rafiki ,siku iishe vzrKuna mtu ananivuruga
Week ya nyungu jifukize we mzeeNaona kwa mitandao , watu full kujifukiza
Mei mosi huku mishahara hamjaongezwa sasa furaha inatoka wapiii
Saaana jamani, ila leo mei mosi, tufurahi jamanii
Mimi nilishasamehe na kila mtu aendelee na mambo zake naona tu chokochokoBasi msamehe Rafiki ,siku iishe vzr
Hahahaha, Congo ndio zao hata malaria tu unafukizwa ,nikija huko najifukiza na mmWeek ya nyungu jifukize we mzee
Haya sawa,Aman itawaleMimi nilishasamehe na kila mtu aendelee na mambo zake naona tu chokochoko
HahahahahMimi leo nakesha humu tulale humuhumu
HahahahahMei mosi huku mishahara hamjaongezwa sasa furaha inatoka wapiii
WoyooooooooooHahahaha, Congo ndio zao hata malaria tu unafukizwa ,nikija huko najifukiza na mm
Ameeen sasa mwambie asinichokozeHaya sawa,Aman itawale
Hahahah imekuuma na mimi nimekukumbusha naona kama umejisahau miaka 5 hii mishahara hamjaongezwa okonkwo jana ananiambia tumeingiziwa mshahara tu bila overtimeHahahahah
Mbona kama imeniuma jamani