Eti sakayo peke yako ndio ulikua unanisalimia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikikumbuka hapo tu nacheka sana mimi sakayo huyuhuyu ninayemjua
Mungu ambariki kwa kweliHahhaha mwepesi kupanick na mwepesi kuomba radhi
HahahahahWanapanick kabisa kwani hata kama watu wanakulana inawauma nini
Ujue nilisoma mara mbilimbili uvumilivu ukanishinda imebidi nijibu tuHahahaahahah
Niwaaacheee jamanii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Okokwo wangu ako na kitambi kama mfipa wa sakayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ameeen we mzee wake shunie ubarikiweMungu ambariki kwa kweli
Nifundishe kucheza basiiSakayo hii nyimbo naipenda ukiniuliza naipendea nini maneno yake uwe na babe sasa unamchezea okonkwo wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahahaUjue nilisoma mara mbilimbili uvumilivu ukanishinda imebidi nijibu tu
Abarikiwe mpaka ashangaeeAmeeen we mzee wake shunie ubarikiwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mapenzi ya watu wanaumia wengine jf bwanaHahahahah
Mapenzi bana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli mazoezi hataki kufanya akikaa namwambia we baba ufanye mazoezi ujue utakuwa na kiokra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue wewe chiziiii
Kucheza unatakiwa mbele ya okonkwo wako sawa eeenh kwenye nikikupea unainama hiviNifundishe kucheza basii
Kwakweli nimeshindwa kuvumiliaHahahaha
Nakujua weweee
Sijui hata yuko wapi akija hapa mie nishaleft aanze kulialia ila huyu mzee ananipenda sanaAbarikiwe mpaka ashangaee
Mapenzi yenyewe ya vivuli tuu jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mapenzi ya watu wanaumia wengine jf bwana
Hahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli mazoezi hataki kufanya akikaa namwambia we baba ufanye mazoezi ujue utakuwa na kiokra
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kupendana mpaka kuachana kwa kivuli makapuku ile hairudi jamani khaaaMapenzi yenyewe ya vivuli tuu jamani
Unaleft unaenda wapi eti jamaniSijui hata yuko wapi akija hapa mie nishaleft aanze kulialia ila huyu mzee ananipenda sana