Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,288
- 95,593
DahNdo atajua hajui
DahNdo atajua hajui
Nisamehe, ahsante Nilikua nikuambie ahsante nikawa na kazi kdg, naomba unisamehe nakiri nimekukoseaWewe mzee ake Shunie hata husemi Asante mekuletea mtu wako
Dah, Shunie nilikua na kikazi kdg ,naomba msamaha kwa hili ,tafadhali pokeeni msamaha wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shukrani ya punda nikikumbuka nilivyomkuta analia
Nahisi ebu jaribu kuitafutaHivi hiyo app iko playstore?? Maana hata sielewi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo atajua hajui
Na wasiofanya kabisa wanakuwaje ??
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] oohh haya mamaHahaha karantini babe ndio inanificha bwana
Ahsante ,nilianza kupandwa na preshaTumepokea jamani we mzee
Kabisa kabisa yaani ,nilishaanza kuwa mnyonge hukuUsijali we mzee tena huo msamaha umeutoa kutoka moyoni kabisa
Hujambo
Usijali kabisaa jamani mzee ake Shunie, tuazingua tuu! Kuwa na amaniNisamehe, ahsante Nilikua nikuambie ahsante nikawa na kazi kdg, naomba unisamehe nakiri nimekukosea
Nimeuliza tuu, wala siitakii jamaniNahisi ebu jaribu kuitafuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisaa jamaniUsijali we mzee tena huo msamaha umeutoa kutoka moyoni kabisa
AimennTumepokea jamani we mzee
HahahahahAhsante ,nilianza kupandwa na presha
Wewe mzee ake Shunie acha wogaKabisa kabisa yaani ,nilishaanza kuwa mnyonge huku