Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Asiraaa zimeisha au stress zmepunguaJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangalamtoto mlito kiboko kabisa






Asiraaa zimeisha au stress zmepunguaJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangalamtoto mlito kiboko kabisa






AMINADecember tutakua wote hapa wazima wa afya, Wote tukiimba.
"Nimtudishie bwana niiini,Kwa Ukarimu wake woote"Aliyonitenda mimi nimrudishie bwana nini"
Have a little faith..Mungu yu pamoja nasi.
Your mission is to stay alive in this miserable time.
Usijawe na Hofu..Jawa na Imani
MERCIOnce again, Happy New Month![]()
AMENYesu azidi kuwatunza kwa ajili yangu
Thank you!Happy New Month
Kale kamsemo "TAFUTA PESA" Kanawapa stress
Yo welcomeThank you!
AmeeeenHallelujah


zidi kuniombea tu Nina miezi mingi sijanywa mpaka naisahau
Wakina nani kanawapa stress etiKale kamsemo "TAFUTA PESA" Kanawapa stress
Nipo dear, nani huyo anakuficha jamani?Miss u too mtoto mzuri
Upooo mrembo wangu
Hahaha karantini babe ndio inanificha bwanaNipo dear, nani huyo anakuficha jamani?
Mnaowaambia watafute pesaWakina nani kanawapa stress eti
Hahahaha, mie nikiingia humu km sikuoni sijisikii raha, na presha inapandaWe mzee jamani kwahiyo ulikuwa na presha jamani
Vzr ,sana Unaendeleaje lknHiki ndio muhimu we mzee kuliko chochote kile kwa kipindi hiki
Ahsante, na weweAsante we mzee nilipata salaam zako jana kwa sakayo
Kwahiyo sasa hivi imeshuka eenhHahahaha, mie nikiingia humu km sikuoni sijisikii raha, na presha inapanda
Niko poa kabisa we mzee hofu kwako tuVzr ,sana Unaendeleaje lkn
Niko vzr Shangazi ShunieNiko poa kabisa we mzee hofu kwako tu
Hahahaha, ewaaaa iko normal sasaKwahiyo sasa hivi imeshuka eenh