Karibu tena jamaniAsante jamani kwa kutukumbusha
AmeenDecember tutakua wote hapa wazima wa afya, Wote tukiimba.
"Nimtudishie bwana niiini,Kwa Ukarimu wake woote"Aliyonitenda mimi nimrudishie bwana nini"
Have a little faith..Mungu yu pamoja nasi.
Your mission is to stay alive in this miserable time.
Usijawe na Hofu..Jawa na Imani