Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Umeshtuka eti!!! Ila si mbaya siku moja moja naweza nikakupa ukitaka....Nimeshakukataa, mimi sitaki kushikwa ugoni!....Shunie amekutaja kama kukukomoa hivi kwa sababu ya lile bomu!
Si unajua vyenye vile shoo za ugenini zinavyokuwaga tamu...?!
Siri yako lakini
Sent using Jamii Forums mobile app





