Hilo daladala baharia Lee alishalipanda kisha akashuka halafu wakapanda tena wengine?[emoji6][emoji6][emoji6]
Huyu ni yule mlokole?
[emoji3][emoji3]Mme wa shunie
Ex wa abj
Mchepuko wa Mama ashura
Nakazalika[emoji3][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhhhhhhhhh
Kwahiyo me ni daladala [emoji30][emoji30]Hilo daladala baharia Lee alishalipanda kisha akashuka halafu wakapanda tena wengine?[emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anafahamu kuwa siku hizi umekuwa comedian?