Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]....siku zote, mahakamani ukienda usiende mchafu au rafurafu, unaweza kuongezewa adhabu kutokana na ulivyovaa.
Anko wangu Lee faini ya kufumaniwa ilikuwadoubled sababu alienda kavaa Oshkosh
Eee....wako?!Hahahaha,nipo shangazi nawasoma tu ,niaje lkn Shunie wangu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hapo kwenye wangu ndo sijaelewaa mzee mwenzangu
Usichekeee
Ndo ushangaee
Upoo
WelikamuNawasalimu makapuku wenzangu ni Kitambo kdg nilitekwa Pahala ila niko nanyi tena...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unakuwa mchokozi? Kwa nini unamsaksia mke wa mtu kwangu? Unataka niuawe?!Huyohuyo
Mzee was chura hebu tulia mi chura nimtoe wapi?!husna yule wa kudondosha mabomu?
Wati?! A yu siriasi?!Woyoooooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila nakupa taarifa ukiona binamu anataja telemundo ni ABJ
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usichekeee
Nimeshakukataa, mimi sitaki kushikwa ugoni!....Shunie amekutaja kama kukukomoa hivi kwa sababu ya lile bomu!Mzee was chura hebu tulia mi chura nimtoe wapi?!
Hebu mkawaangalie mabwawani hukoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakutakii mema kabisa huyuuKwa nini unakuwa mchokozi? Kwa nini unamsaksia mke wa mtu kwangu? Unataka niuawe?!