Makapuku Forum

Makapuku Forum

...
Tia%20maji.%20-%20hali%20tete%20(%20917%20X%201080%20).jpeg
 
Ukiniuliza weekend yangu ilikuwaje niakujibu bila kukuficha kuwa ilikuwa ni nzuri sana, full mapumziko, Netflixing na ubunifu kidogo nilioufanya katika kuiboresha Gordon's gin kwa ndimu na chumvi kidogo. J3 imenianza kichwa kikiwa timamu ila ukiachana na suala la kodi ya nyumba.

Vipi wewe mdau makini wa jukwaa hili, wikend yako ilikuwaje? Kujibu ni uungwana (civility) na kutojibu ni haki yako maana jukwaa hili kama ilivyo nchi yetu ni huru. Lakini kwanini ujifunze ukonky (rudeness) ilhali kila mmoja anakujua uko smart na wewe ni sababu ya mimi na yule kuwa hapa.

Uwe na wiki njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom