Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mzee mwenzangu vipiiii
Mzee mwenzangu vipiiii
Kuna uzi wa wanaopenda mabibi mmu.. hawatakuacha salama
Nakupenda mwaya.. hata wakuvuruge moyo.
Moyo wangu haujavurugika
Najua wajua ila wanajua ila nilikuwa namjulisha zaidi ...Tulia wewe mimi ndiyo mtaalam!![]()
Natamani nisiamke kwenye hii ndotoNakupenda mwaya.. hata wakuvuruge moyo.
Moyo wangu haujavurugika
Najua wajua ila wanajua ila nilikuwa namjulisha zaidi ...
Shikamooo wote
Tulia wewe mimi ndiyo mtaalam!![]()
Nakupenda mwaya.. hata wakuvuruge moyo.
Moyo wangu haujavurugika
Shkamoo wataka ninyima nini eti jamaniShikamooo wote
Wacha anengenekwee atapata anachostahili
Kwamba aaa
HhahahahahahaShikamooo wote
Duuu kumbe we bado upo na chuki na huu uzi
Nakunyima mahindi ya kuchoma na ile kitu ua wakubwa akina naniiiiShkamoo wataka ninyima nini eti jamani
Mkuu habar yako tumepoteana kweliHhahahahahaha
Nipo tupo na tunaendelea kuwepoooMkuu habar yako tumepoteana kweli
Sina chuki na mtu , na jiuliza kipi kinawakalisha hapa siku zote hizi ,hamchoki ?Duuu kumbe we bado upo na chuki na huu uzi
Bora ukawa na amani yako kuliko kuwapa wengne amani ambayo huna
Pole mkuu
Pamoja na mwaka mpyaDuuu kumbe we bado upo na chuki na huu uzi
Bora ukawa na amani yako kuliko kuwapa wengne amani ambayo huna
Pole mkuu