ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,947
- 13,864
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]akaa mtu kabisa anasifia mwingine laivu laivu nami naona afu nirudii Sina moyo wa chuma Mimi [emoji135]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chomaaaa tuu
Hahahaah
Niwaacheee
Poaa
Mmmmhhh
Kwa majina naitwaa fundiiiii wa maji
[emoji848]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi moyo wangu wa plastic hautaki shida kabisa
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hata sijaelewa kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakuachaje
Sent from my iPhone using Tapatalk
Popote mlipo ninyi watu mbarikiwe, natumaini mu wazima wa afya..Nidhamu na Hekima viwe nguzo za maisha yenu.
Muongo huu mpya uwe wa heri na baraka kwenu..
(Nimejikuta nawakumbuka tu ndugu wa humu...wa kipindi hicho Makapuku ikiwa makapuku kweli)
List itakua updated kadri nitakavyokumbuka majina
kuhusu hili mbona tulishaongea binamu,,
huyo ni my telemundo binamu..
Ameena kibongeAmeen vinc [emoji120]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Woiiiiiii..
Hivi kipimo cha kumiss mtu ni aje.?
Au kumiss hakuna SI Unit
Kwani mnaongelea nini? Story inakuja halafu inakata hivi
[emoji848]Hii ilikua zamani My wangu..
Kwa sasa nimekua kijana mstaarabu
Hawa ni warabu wa pemba..
Kuna muda shunie anakua mwenyewe hapa anajiongelesha huwezi muelewa[emoji23][emoji23][emoji23]