Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hii Alkasusu sijui Kasusura ni kinywaji gani? Watu wa Dar mna mambo sana hakyanani,

Nina safari ya Tanga, kama kuna mwenyeji na au unamjua mwenyeji Tanga mjini basi tutafutane kuanzia Jtano jioni, nitakuwa hotel moja nzuri, nna hela ya kunitosha mwenyewe, tafadhari mwenyeji aje akiwa kamili kujigharamia endapo atataka kunywa au kula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sharti la Al-kasus ni lazima uwe na uhakika wa mechi
 
FB_IMG_1575124558046.jpeg
 
Back
Top Bottom