makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,892
- 104,120
Waambie wasahaulifu woote mie nina dawa yao.. Hiyo inatibu mara moja wakitumia mara kwa mara.
Waambie wasahaulifu woote mie nina dawa yao.. Hiyo inatibu mara moja wakitumia mara kwa mara.
Sie walala hoi, wazee wa kua winga, unapiga ngoti, kariakoo to daraja la kigamboni, mazoezi hayahitajiki.
Sasa nisiposaidiwa hili suala sasa hivi naugua maradhi ya akili kwa kweli, na ndio maana siku hizi nimekuwa nina wasiwasi..
Malizia tu, mwenyeji kulala bure.
Sasa nisiposaidiwa hili suala sasa hivi naugua maradhi ya akili kwa kweli, na ndio maana siku hizi nimekuwa nina wasiwasi..
Ila akili sio wasiwasi!!... hongera chief, wasiwasi ndo akili.
Na atakae shangaa shangaa pasina shanga, ni marufuku kusogelea eneo la mgeni.......kulala sijaweka maana inabidi niangalie vigezo, mwenye shanga bila kushangaa atalala bure kwenye chumba chenye AC sio fan
Imfikie cuzoo wako Linamo
Nimewahamuuu
Niambie mzeemzee babaa
umeadimikaaNiambie mzee
Kwenye website ya fahamu zaidi mkuuShunie hizo tafakuri unazitoa wapi?
Baba wawili za weweSawa shunie