Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,817
Hii nchi ndio ya kuishi sasa ukisikia serikali inajali watu wake ndio hii
Sasa kama wa ufaransa wanadhani wanalia kwa sauti ya juu waje huku Tanzania wakutane na matarumbeta kabisa
Npo dear hbr ya sikuDu!! Upo tumo?!
Maisha ndio chakula gn ndugu?
Nipo nafuatilia Rafiki
AminaaaSalaam wapendwa wote mliotukimbia hapa kwenye uzi wetu pendwa[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mwenyezi Mungu awabariki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Picha inayodisplay makapuku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alaumiwe shunie [emoji23]View attachment 1275136