Mzee ilikuwa pilikapilika tu kuzidiana, mtifuano wa tumbo na mfuko katika neutral ground.umeadimikaa
Kumbe ndio maana bichwa linanigonga gonga hovyo, utafikiri humu ndani kuna fundi mekanika.
Shunie akee..Je wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangalamtoto mlito
Nakuogopa kama ukomaShunie akee..
Usiniogope kiasi hicho shunie akee..Nakuogopa kama ukoma
Umekufaje kila mtu yupo busy na mambo yakeSo huu uzi ndio umekufa au vipi..
Msiwe buze kiasi hiko..Umekufaje kila mtu yupo busy na mambo yake
HahahahaUmekufaje kila mtu yupo busy na mambo yake
Hahahaha, sijui umekumbwa na nnSo huu uzi ndio umekufa au vipi..
Safi myluv ShunieJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangalamtoto mlito
Mimi watu wanaosema wako bize hua nashindwa kuelewa asee.. Kila siku uko bizee tu, kwani ulikuja duniani uje kuwa bize?Hahahaha, sijui umekumbwa na nn
Hahahaha, huwezi kujua labda wako busy kweliMimi watu wanaosema wako bize hua nashindwa kuelewa asee.. Kila siku uko bizee tu, kwani ulikuja duniani uje kuwa bize?
Labda mimi hua niki na nawazo tofauti kuhusu maishaHahahaha, huwezi kujua labda wako busy kweli
Hahahaha, labda mkuu siwezi kujuaLabda mimi hua niki na nawazo tofauti kuhusu maisha
Mbona mimi nipoMsiwe buze kiasi hiko..