Mimi sijambo shunie, mzima wewe?We mzee nani alikuteka eti
Mimi mzima sana baba wawili hofu kwako jamani umekuwa adimu sanaMimi sijambo shunie, mzima wewe?
Mimi mzima shunie, nashukuru kama haujambo na unaendelea vyema huko ulipo...Mimi mzima sana baba wawili hofu kwako jamani umekuwa adimu sana


Kumbe ndo maana!

ShikamooHappy weekend wadau. Ndugu yenu nawasalimia
Kwamba na wewe huu ugonjwa unao etiKumbe ndo maana!![]()
Binamu hatujambo vipi weweHappy weekend wadau. Ndugu yenu nawasalimia
We unafika huku ?Kumbe ndo maana!![]()
Asee kila la kheri, niombee na mm mkosefuHapana baba wawili niko kwenye mfungo na maombi wa siku 14
Hahaah eti nikuombee na wewe mkosefu we mzee bwana haya nitakuombeaAsee kila la kheri, niombee na mm mkosefu
Hahahaha, ahsante Shunie nashukuru kwa kuniombeaHahaah eti nikuombee na wewe mkosefu we mzee bwana haya nitakuombea
HalleluyaHapana baba wawili niko kwenye mfungo na maombi wa siku 14