Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Niko hapa mimi jamaniEndeleeni kutekana
Niko hapa mimi jamaniEndeleeni kutekana
Lilonibana ni lindo tu hakuna kingineNdo umeachiliwa eti dada
Nimekutumia banaMbona uko uliposema sioni
Nakuhamu ujueTushaamka.
Haya unasemaje Kigori?
ShikamoooNakuhamu ujue
Hahahaha, huyu anaenda Kasai au Kalemiii ? Maana hiyo njia km uko CongoBora punda afe...View attachment 1258047
Yafaa ukupashe mkuuMakapuku eeh ..za mdaa!!
Uku kumepoa Siku izi..
Ugonjwa wa mtaasisi Obe huu
Wadada mpunguze tamaa aisee
Ndo maana napenda nyama

Unapenda nyama eenhNdo maana napenda nyama![]()
Jumapili njema kwa waenda kanisani na wadau wengine leo ndo mwanzo wa wiki, ndugu yenu ndo narudi home, nitasingizia nilikuwa kwenye tamasha la Wasafi




Sana,na ulivotaja hyo faida ndo nimependa zaidiUnapenda nyama eenh
SwalamaHabari zenu wapendwa..