Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Nitakuja kukusubiri sema kingineHahaha...mbezi mwisho pale...mimi nakunja njia ya Goba..![]()
Miguno ipi hiyo THahahaha! Na ile miguno yake..![]()
Mpigie simu muongee dakika moja nyingi! Atakuwa ameshaguna mara 2 au 3Miguno ipi hiyo T
Uje mwenyeweNitakuja kukusubiri sema kingine
Hiyo miguno inahusu nn etiMpigie simu muongee dakika moja nyingi! Atakuwa ameshaguna mara 2 au 3
Yupo bwanaLee si ameenda Darfur leo! Nimemuona akikwea pip.
Sijuagi hata..Hiyo miguno inahusu nn eti
Mmh! SidhaniYupo bwana
Hahahaha, safi Sana km uko poa, umeamkaje leoNiko poa mie we mzee sijui ww
Yaan nikikuona T nakumbuka gari yetu![]()
Daaah nyie watu nyie bado mpogo?? Hope yo Tremendous fine! Tom yeye ndio simuoni humu.Longtime mkuu..
Nimeamka poa we mzee sijui wwHahahaha, safi Sana km uko poa, umeamkaje leo
Tupogo ndio ndio tushafika hapaDaaah nyie watu nyie bado mpogo?? Hope yo Tremendous fine! Tom yeye ndio simuoni humu.
Kribu sanaTupogo ndio ndio tushafika hapa
Mimi nimeamka poa kabisa Shangazi Shunie , Naona week end imeanzaNimeamka poa we mzee sijui ww