Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,322
- 35,826
Ha ha ha ha hapana ankooo,,shunie ana majina kama yote,,hujaona hapa anaitwa insta baby[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja aje ankoo[emoji23]
...hiii insta baby imenipa mawazo sana, inawezekana vipi aunt yangu Shunie awe na jina ambalo ndugu yake mimi silijui. Kwa kweli imeniuma sana