Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Kwamba mnataka kusema nini wewe na dada yako?
Ujumbe unamuhusu eenh
Ujumbe unamuhusu eenh
...nazipataga sana tena furahiday huwa naingia inbox kusoma notification zote zilizokuja kwa wiki nzima.
Cheki simu yako kama hupati notification inbox badili simu au hama mji

Mh Mungu endelea kunifundisha kunyamaza

Hapana dadaUjumbe unamuhusu eenh
Hahaha hahaha hahahaWoiiii mm nakujua kwahiyo hatukupi furaha mfyuuuu
Nimekununia mimiLa bheka Mama Nah
Eti sie hatutadumu baba NaahKwamba mnataka kusema nini wewe na dada yako?
Nimekununia mimi
Hahahaha, wazima nyieEti sie hatutadumu baba Naah
Mimi sijambo kabisaaa...Hahahaha, wazima nyie
Mimi sijambo kabisaaa...
Za kuamshwa
Alolala pembeni yako etiMie pia sijambo,Hahahaha nani kanihamsha?
Marahabaa.... Hujambo mjukuu wangu?Hatujambo shikamoo
Hahahaha, nalala pekee yake RafikiAlolala pembeni yako eti
Hahaha hahaha hahaha hahahaHahahaha, nalala pekee yake Rafiki
Marahabaa dadake shunie... Hujambo wewe?Salama
Shkamoo
Sijambo babu yake ShunieMarahabaa dadake shunie... Hujambo wewe?
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Hujaamshwa hata na jirani alokuwa akifagia uwanja mapema leo?!
Hahaha hahaha hahahaHahahaha, hakuna nimeamshwa na alarm ya kusali misa ya asubuhi