Makapuku Forum

Makapuku Forum

.
Screenshot_20190417-165222.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Simu yangu binamu haina inbox

.....nilijua tu, ukiwa na simu za Simusang au Aepple basi kuona inbox ni shida sana.

Ila sijui kwanini my Telemundo hanijibu inbox zangu, au hana simu? Aseme mapema kabla sijamaliza bajeti za sikukuu. natoaga mazawadi tu.

Uko poa lakini aunt yangu, miss you kwa sana na ni furaha kwangu kukuona hapa, namaanisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom