Makapuku Forum

Makapuku Forum

Je wajua

Screenshot_20190418-112405.jpg
 
Walimwengu tuuu!

Wengine wataibuka na kusema wananifahamu! Wakuambia madhaifu yangu..

Kama ambavyo watu wananifuata wananiambia wanakufahamu..mara Sakayo yuko mara yuko vile..!

Ni kawaida ya walimwengu tuu.
Sema kweli jamani watu wanakufata kuhusu sakayo wakina nani hao wanaosema wanamjua sakayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom