Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jamani mvua inanyesha mpaka raha mvua hii uwe karibu na babe tu pembeni mkumbatiane tu

Wakubwa mnafaidi nikikua nataka kuwa kama nyie
Hahahahahahahaha unatupaaa jiwe gizaniiiii uzuriii mm jana nmerudiiiii salama
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm nimesema wakubwa mnafaidi tu na mm nataka kuwa kama nyinyi
 
  • Thanks
Reactions: Lee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka watu waseme ya moyon weww
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm nimesema wakubwa mnafaidi tu na mm nataka kuwa kama nyinyi
 
Kwenye itel inaingiaa ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kinyume chake halafu naonaga jukwaa la tec watu wanaulizia wekeni muue simu zenu

Mm sitaki hata kuisikia iliniulia s5 yangu mpya ikasababisaha nitumie tecno simu ambayo siipendi hata
 
Alafu hicho kitecno chako uje uniongee boss

Back
Top Bottom