ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,947
- 13,864
Ndiwooo
KhaaaaBaba Naah nakutafuta mm
Ukimpata Baba Naah wako mwambie niko na ujumbe wakeKhaaaa
Mtafute mwenyewe hukooUkimpata Baba Naah wako mwambie niko na ujumbe wake
Ya kweli ndio kwahiyo hauamini we mzee kama nimekumiss mm
Kwani umesharudi porini kwako
[emoji38][emoji38]Nilikua naongea na wewe apo anti kibonge[emoji87][emoji85]Unaongea na nani eti we binti
[emoji23][emoji23][emoji23]usiniambie ntakusaidia ukiwa kwenye......[emoji85]alafu mie naeHahahah tutasaidiana kwenye shida zingine zingine kama ushauri ila siyo pesa sawa mama[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata maraisi wapo wastaafu.Hilo jina lenu nimeshasema silitaki kama ameshapatikana mrithi aunty mary ndio lake
Shkamoo..Unanichosha ujuee
Na mdomo ukauziba.[emoji53][emoji53][emoji3][emoji3][emoji3]sawa shangazi nimekoma [emoji40][emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeamka mjomba.Mmelala humu
MTC | 101| [emoji769]
Mjomba mjombaaa unaletaaa siriiiii za utaniiiAunt Mary akipotea na mjomba Lee anapotea pia,wakirudi wanarudi wote,,waulize kwan wao ni mapacha??