Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaha hahaha hahaha
Wewe auntie yake Naah ujue tangu uhamie ikulu sikuelewi eeehhh....

Ila mie mzuri jamaniii, sio leo tuuuu lakini sikushindi wewe!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama Naah nimecheka sana mm

Nikifiklia safari ya kurudi kutoka ikulu nguvu zinaniisha woiiiii ebu nianze kujiandaa
 
Hebu fanya urudi kwako wewe shangazi ake Naaah...

Ikulu ni mahali patakatifu
 
Kuna mtu hapa kaanzishiwa uzi kule MMU amekausha kana kwamba hana habari![emoji6][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom