Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
Niambie tu,mie ni wako
MTC | 101|
Acha nikwambie tu siri ya moyo wangu
Hata nikificha mboni zitaniumbua
MTC | 101|

Acha nikwambie tu siri ya moyo wangu
Hata nikificha mboni zitaniumbua

Bana wee Mungu huyu, ila JF hkn anayenipenda, ila upo ninayekupenda ambae ni wewe Shunie, na yupo asiyenipenda ambaye ni wewe huyo huyo Shunie
MTC | 101|![]()







Leo unawakana eenh wanaokupenda

He heWapi ?
MTC | 101|![]()
Nacheka mm hii sauti ya chura imekuwa ya kumtoa mtu pangoniMutoto una sauti ya kumtoa nyoka pangoni
MTC | 101|![]()
HahhahhaWala si wakani wajitokeze, mbn mie najitokeza kwako ,na hunipendi ?
MTC | 101|![]()
Nacheka mm hii sauti ya chura imekuwa ya kumtoa mtu pangoni

Acha tufunge huo mjadalaHe he ndio wapi ?
MTC | 101|![]()
Hahhahha
Mbona 'wanajitokezaga

Hapa nasubiri baada ya nywele za darling,nasubiri mguuWe baba wawili kwa kubadili avatar tu



Mmmh ,siwaonagi, mie nakuonaga we we tu ,pamoja unanipa vya mbavu ,ila sikomi
MTC | 101|![]()







WoooihBabe nipe mm tu vilivyo uvunguni