Makapuku Forum

Makapuku Forum

...niko salama sana, asante kwa kuuliza, Ntwara kuchele, huku kwingineko jua tu linawaka, tunahangaika tu sasa hivi na kuangalia nini tununue tukilipwa hela zote maana zile nusu walizolipa, mfano mimi, nimeshazimaliza na nimezimaliza kimchezomchezo tu, nilibet kwamba Tz itafungwa na Uganda.

Kuhusu ABJ tafadhari useme taratibu asije akadhani kutofautisha uongo kwenye ukweli ni kazi rahisi.

Naamini uko poa hapo mjini,
Shikamoooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom