makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,827
- 103,886
Aswalat khayrum minna naum!!Swala ni bora kuliko usingizi![]()
Muhimu kujikusanyia kusanyia point 3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aswalat khayrum minna naum!!Swala ni bora kuliko usingizi![]()


hiyo sasa ni mwana ukome dah.Hahaa.. Sawa.hiyo sasa ni mwana ukome dah.
Sawa naulizia ntakupa jibu baada ya saa 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nakusalimia binamu. Kwa kweli kitendo alichonifanyia hakikuwa haki kabisa ila ndo atabaki anajishangaa maana kila nikiwa nna hela basi najikuta nampenda yeye badala ya madame SepengaHahaha
Mwajuana vyema na binamu,ngoja nikae kimya,wawili wagombanapo yakupasa ubebe jembe ukalime
Binamu Obe nakusalimia
Shkamoo
Hahaha hahaha hahahaHahaa sikuiona hii tag kipenzi .... now days nimepatwa na ugonjwa wa uvivu wa ku-comment aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha hahaha
Shkamoo baba Naaa
Same to you mzee mwenzangu.midamida wadau. Tuwe na j4 nzuri, kama vipi, baadaye. Much love to you good people and have a wonderful rest of the day. Obe
Jambo vivi
Kwaiyo mie ndo mtumia hela eti.?Nami nakusalimia binamu. Kwa kweli kitendo alichonifanyia hakikuwa haki kabisa ila ndo atabaki anajishangaa maana kila nikiwa nna hela basi najikuta nampenda yeye badala ya madame Sepenga
Hahaha hahaha hahaha
We jishaue tuuu