Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Umesahau ulivyomfanyia binamu sio?


Umesahau ulivyomfanyia binamu sio?


Muamke ss kumekucha muwahi makazini,
Baba keagan aliomba msamaha wa J3 leo kazi kazi
Asubuhi njema kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau ulivyomfanyia binamu sio?![]()
Mkuu hii ni alfajiri, labda tuseme alfajiri njema.Asubuhi njema na kwako pia
Saa 04:50 ni alafajiri...Muamke ss kumekucha muwahi makazini,
Baba keagan aliomba msamaha wa J3 leo kazi kazi
Asubuhi njema kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ya uchungu...usiniharibie binamu, nilifaidi kwa nusu bei. Kuna karaha zenye raha, ukisikia ndo ilikuwa hivyo sasa
HahahaMimi huyu.?
Aah sio kweli bhna ye ndo alinifanyia au unajifanya hukuiskia ile siti za kukaa ni 55 na za kusimama hazina idadi.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran kwa kunikumbusha mkuu,habari ya uzima huko?
Hahaha
Mwajuana vyema na binamu,ngoja nikae kimya,wawili wagombanapo yakupasa ubebe jembe ukalime
Binamu Obe nakusalimia

Huku ni safi kabisa mkuu!! Sijui huko.Shukran kwa kunikumbusha mkuu,habari ya uzima huko?

kamati ya roho mbaya huyo