Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kifupi bila kupoteza muda wa kila mmoja wenu, ninawasalimia na kuwataarifu kuwa ndugu yenu nilikuwa na wikend nzuri, asanteni kwa kutouliza na ninaandika kuwatakia wiki njema na kama kawaida yangu, salamu zinasindikizwa na burudani.

BTW ni furaha kumuona marybaby jukwaani. Mimi bado ni yule yule

 
...nililipwa nusu binamu, zawadi yako subiri sikukuu ianze, watatumalizia mwezi huu walisema kwa hiyo uongo dhambi, nina mpango wa kuoa mke mwingine, jadi inaruhusu. Ukipata hela unaruhusiwa kuongeza mke, zikiisha mnaachana

Nasubiri fursana yangu binamu
 
.
Screenshot_20190319-190541.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom